• HABARI MPYA

  Saturday, September 04, 2021

  SAMATTA AJIUNGA NA STARS KUIVAA MADAGASCAR JUMANNE

   

  NAHODHA Mbwana Ally Samatta jana amejiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kuelekea mchezo wa pili wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Madagascar Jumanne Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Samatta alikosekana kwenye mchezo wa kwanza Alhamisi Taifa Stars ikilazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi.
  Kilichomkwamisha Samatta ni kushughulikia ubamisho wake wa mkopo kutoka Fenerbahce ya Uturuki kwendaRoyal Antwerp ya Ubelgiji.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA AJIUNGA NA STARS KUIVAA MADAGASCAR JUMANNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top