• HABARI MPYA

  Tuesday, July 20, 2021

  TIMU YA VIJANA YA TANZANIA KATIKA MAZOEZI YA MWISHO KABLA YA KWENDA ETHIOPIA KUSHIRIKI MICHUANO YA CECAFA U23


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 ,wakiwa mazoezini Uwanja wa JMK Park Jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya CECAFA Challenge U23 inayoendelea nchini Ethiopia.


  Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Nsajigwa Shadrack akiwanoa vijana mazoezini  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIMU YA VIJANA YA TANZANIA KATIKA MAZOEZI YA MWISHO KABLA YA KWENDA ETHIOPIA KUSHIRIKI MICHUANO YA CECAFA U23 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top