• HABARI MPYA

  Saturday, July 31, 2021

  TANZANIA PRISONS YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI NYOTA ALIYEKUWA ANACHEZA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA


  KLABU ya Tanzania Prisons imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa kumsajili kiungo mshambuliaji Athanas Mdam aliyekuwa anachezea Kariobangi Sharks ya Kenya kwa mkataba wa miaka miwili.
  Pamoja na mchezaji huyo aliyeibukia akademi ya Alliance ya Jijini Mwanza, Prisons pia imemsajili tena mlinda mlango wake, Hassan Msham na kumpandisha beki wa kushoto wa  timu ya vijana U20, Ibrahim Abdallah Abraham.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA PRISONS YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KWA KUMSAJILI NYOTA ALIYEKUWA ANACHEZA KARIOBANGI SHARKS YA KENYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top