• HABARI MPYA

  Tuesday, July 27, 2021

  NASREDDINE NABI AWABWAGA GOMES WA SIMBA NA LULLE WA MBEYA CITY KUTWAA TUZO KOCHA BORA WA LIGI KUU JULAI

  MTUNISIA Nasreddine Nabi ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi wa mwisho wa msimu, Julai baada ya kuwashinda Mfaransa Didier Gomes wa Simba na Mganda, Mathias Lulle wa Mbeya City.
  Nabi aliiongoza Yanga kushinda mechi mbili kati ya tatu ilizocheza mwezi huo, 1-0 dhidi ya mabingwa, Simba na 2-0 dhidi ya Ihefu huku mwingine ikitoa sare ya 0-0 na Dodoma Jiji FC.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NASREDDINE NABI AWABWAGA GOMES WA SIMBA NA LULLE WA MBEYA CITY KUTWAA TUZO KOCHA BORA WA LIGI KUU JULAI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top