• HABARI MPYA

  Saturday, July 03, 2021

  ITALIA YATINGA NUSU FAINALI BAADA YA KUIPIGA 2-1 UBELGIJI

  ITALIA imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Ubelgiji leo Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich, Ujerumani.
  Mabao ya Italia yamefungwa na Nicolo Barella dakika ya 31 na Lorenzo Insigne dakika ya 44, kabla ya Romelu Lukaku kuifungia kwa penalti Ubelgiji dakika ya 45.
  Kwa matokeo hayo, Italia itakutana na Hispania katika Nusu Fainali Jumanne.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YATINGA NUSU FAINALI BAADA YA KUIPIGA 2-1 UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top