• HABARI MPYA

  Tuesday, July 20, 2021

  KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 23 CHAENDA ETHIOPIA KUSHIRIKI MICHUANO YA CECAFA U23  KIKOSI cha timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23, kimeondoka leo Dar es Salaam kwenda Ethiopia kwenye michuano ya CECAFA Challenge U23 iliyoanza mwishoni mwa wiki.


  Timu hiyo imeondoka baada ya kufanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi Uwanja wa JMK Park, Dar es Salaam na kitafungua dimba kesho dhidi ya U23 ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 23 CHAENDA ETHIOPIA KUSHIRIKI MICHUANO YA CECAFA U23 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top