• HABARI MPYA

  Thursday, July 15, 2021

  MESSI ASAINI MKATABA WA PUNGOZO KUBAKI BARCELONA

  NA huko Hispania taarifa zinasema Muargentina Lionel Messi amesaini mkataba wa miaka mitano kubaki Barcelona – lakini kwa punguzo la asilimia 50 ya malipo.
  Mkataba huo mpya aliosaini baada ya ule wa awali kumalizika utamfanya adumu Camp Nou hadi atakapofikisha umri wa miaka 39. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ASAINI MKATABA WA PUNGOZO KUBAKI BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top