• HABARI MPYA

  Friday, July 23, 2021

  MWANAMUZIKI NGULI NA KIONGOZI WA BENDI YA NJENJE, WAZIRI ALLY AFARIKI DUNIA USIKU HUU HOSPITALI YA MWANANYAMALA MUDA MFUPI BAADA YA KUFIKISHWA KWA MATIBABU


  MWANAMUZIKI nguli nchini na kiongozi wa bendi kongwe ya muziki wa Dansi, 'The Kilimanjaro Band' maarufu kwa jina la Wana Njenje, Waziri Ally Seif amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Mwanayamala, jijini Dar es Salaam.
  Taarifa zimesema Waziri alifikwa na umauti katika hospitali hiyo muda mfupi baada ya kufikishwa kwa matibabu kufuatia kuzidiwa usiku huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWANAMUZIKI NGULI NA KIONGOZI WA BENDI YA NJENJE, WAZIRI ALLY AFARIKI DUNIA USIKU HUU HOSPITALI YA MWANANYAMALA MUDA MFUPI BAADA YA KUFIKISHWA KWA MATIBABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top