• HABARI MPYA

  Tuesday, July 20, 2021

  TFF YAAHIDI KUENDELEA KULIPA DENI LA SHULE YA FILBERT BAYI KADIRI ITAKAVYOKUWA IKIPATA FEDHA

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahidi kulipa sehemu ya deni iliyobaki la shule ya Filbert Bayi iliyopo Mkuza mkaoni Pwani, Sh. Milioni 76 kadiri itakavyokuwa ikipata fedha.
  TFF imekiri kuingia makubaliano ya kutumia shule hiyo inayomilikiwa na mwanariadha maarufu wa zamani wa kimataifa nchi, Filbert Bayi kwa ajili ya mashindano ya vijana kwa gharama za Sh. Milioni 520.
  Lakini imesema imefanikiwa kulipa Sh. Milioni 444 na kiasi kilichobaki, Sh. Milioni 76 itaendelea kuzilipa kadiri itakavyokuwa ikipata fedha.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAAHIDI KUENDELEA KULIPA DENI LA SHULE YA FILBERT BAYI KADIRI ITAKAVYOKUWA IKIPATA FEDHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top