MOHAMED HUSSEIN 'MMACHINGA' ATEULIWA KOCHA MPYA YANGA PRINCESS BAADA YA EDNA LEMA KUJIUZULU
MSHAMBAULIAJI wa zamani wa Yanga, Mohammed Hussain Daima 'Mmachinga' ameteuliwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya wanawake ya kkabu hiyo kuchukua nafasi ya Edna Lema aliyejiuzulu baada ya msimu uliopita.
0 comments:
Post a Comment