• HABARI MPYA

  Friday, July 30, 2021

  TANZANIA YATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U23 BAADA YA KUIPIGA BURUNDI KWA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 0-0 LEO ETHIOPIA

  TANZANIA imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya ushindi wa penalti 6-5 kufuatia sare ya 0-0 na Burundi leo Uwanja wa Bahir Dar, Jijini Bahir Dar, Ethiopia.Sudan Kusini imemaliza nafasi ya tatu baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Kenya jana hapo hapo Bahir Dar. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U23 BAADA YA KUIPIGA BURUNDI KWA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 0-0 LEO ETHIOPIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top