• HABARI MPYA

  Thursday, July 22, 2021

  KIKOSI CHA SIMBA SC NACHO CHAWASILI SALAMA MJINI KIGOMA TAYARI KUTETEA TAJI LAO LINGINE BAADA YA KUTWAA LA LIGI KUU KWA MARA YA NNE MFULULIZO


  KIKOSI cha mabingwa watetezi, Simba SC kimewasili salama mjini Kigoma jioni hii kwa ndege mapema leo kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya  watani wa jadi, Yanga SC Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA SC NACHO CHAWASILI SALAMA MJINI KIGOMA TAYARI KUTETEA TAJI LAO LINGINE BAADA YA KUTWAA LA LIGI KUU KWA MARA YA NNE MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top