• HABARI MPYA

  Friday, July 30, 2021

  CECACA YABADILI MPANGILIO KOMBE LA KAGAME, SASA NI MAKUNDI MAWILI YANGA WAPO A, AZAM FC B


  BARAZA la Soka Afrika Mashariki na Kati limefanya marekebisho michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kamgame sasa kutakuwa na makundi mawili badala ya matafu.
  Kundi A sasa litaundwa na timu za Yanga SC. Nyasa Big Bullet ya Malawi, Express ya Uganda na Atlabara ya Sudan Kusini, wakati kuna Azam FC, KCCA ya Uganda,  Le Massager Ngozi ya Burundi na KMKM ya Zanzibar.
  Michuano hiyo itaanza Agosti 1 hadi Agosti 14 Jijini Dar es Salaam, ingawa mabingwa wa Tanzania kwa miaka minne mfululizo, Simba SC wamejitoa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CECACA YABADILI MPANGILIO KOMBE LA KAGAME, SASA NI MAKUNDI MAWILI YANGA WAPO A, AZAM FC B Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top