• HABARI MPYA

  Thursday, July 15, 2021

  DONNARUMMA ASAINI PSG BAADA YA KUMALIZA MKATABA MILAN

  SHUJAA wa Italia Euro 2020, Gianluigi Donnarumma amekamilisha uhamisho wake Paris Saint-Germain kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake AC Milan.
  Kipa huyo alitajwa kwenye kikosi cha nyota 11 wa kuunda Timu ya Mashindano ya Euro 2020 – aliokoa fainali na kuisaidia Italia kushinda dhidi ya England kwenye fainali na Hispania Nusu Fainali.
  Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 22 amecheza jumla ya mechi 251 Milan kwenye mashindano yote tangu aanze kuichezea akiwa ana umri wa miaka 16.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DONNARUMMA ASAINI PSG BAADA YA KUMALIZA MKATABA MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top