• HABARI MPYA

  Thursday, July 08, 2021

  BODI YA LIGI YAWATOZA YANGA SC FAINI SH. MILIONI 3.8 KWA KUVUNJA MAGETI KWENYE PAMBANO DHIDI YA SIMBA DAR

  KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imeitia hatiani klabu ya Yanga kwa makosa mbalimbali katika mchezo dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Julai 3, mwaka huu na kuitoza faini jumla ya Sh. Milioni 3.8.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAWATOZA YANGA SC FAINI SH. MILIONI 3.8 KWA KUVUNJA MAGETI KWENYE PAMBANO DHIDI YA SIMBA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top