• HABARI MPYA

  Monday, July 26, 2021

  KIKOSI CHA YANGA SC CHAREJEA DAR KINYONGE BAADA YA KUPIGWA NA MTANI, SIMBA SC JANA FAINALI KOMBE LA TFF


   KIKOSI cha Yanga SC kimerejea mapema leo kutoka Kigoma, ambako jana walifungwa 1-0 na Simba SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo.

  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA SC CHAREJEA DAR KINYONGE BAADA YA KUPIGWA NA MTANI, SIMBA SC JANA FAINALI KOMBE LA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top