• HABARI MPYA

  Wednesday, July 21, 2021

  TANZANIA YAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA U23 BAADA YA KUICHAPA DRC 1-0 LEO ETHIOPIA BAO PEKEE LA RELLIANT LUSAJO KIPINDI CHA PILI

  TIMU ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa Kundi A michuano ya CECAFA U23 jioni ya leo Uwanja wa Bahir Dar nchini Ethiopia.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee  mshambuliaji wa Namungo FC, Relliant Lusajo dakika ya 66 ya mchezo wao huo wa kwanza wa michuano hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA U23 BAADA YA KUICHAPA DRC 1-0 LEO ETHIOPIA BAO PEKEE LA RELLIANT LUSAJO KIPINDI CHA PILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top