• HABARI MPYA

  Friday, July 09, 2021

  GHARIB WA GSM AIPONGEZA AZAM MEDIA LIMITED KWA KUINGIA MKATABA WA MABILIONI YE FEDHA NA KLABU YA YANGA

  RAIS wa kampuni ya GSM, Gharib Said Mohammed ameipongeza Azam Media Limited kwa kuingia mkataba wa maudhui na klabu ya Yanga.
  Gharib ambaye ni mdhamini wa Yanga amesema; “Nichukue nafasi hii pia kuwaomba wanachama, mashabiki na wapenzi wa klabu yetu kuunga mkono manunuzi ya Visimbuzi vya Azam.
  Hii ni kutokana na dili nono kati ya Yanga na Azam TV lenye thamani ya shilingi bilioni 34.8 kwa kipindi cha miaka 10.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GHARIB WA GSM AIPONGEZA AZAM MEDIA LIMITED KWA KUINGIA MKATABA WA MABILIONI YE FEDHA NA KLABU YA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top