• HABARI MPYA

  Friday, July 23, 2021

  MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA SC KABLA YA KUMENYANA NA WATANI WA JADI, YANGA SC JUMAPILI UWANJA WA LAKE TANGANYIKA


  WACHEZAJI wa Simba SC wakiwa mazoezini Uwanja wa Hali ya Hewa mjini Kigoma, mabingwa hao watetezi wakijiandaa na mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya  watani wa jadi, Yanga SC Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo. GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA SC KABLA YA KUMENYANA NA WATANI WA JADI, YANGA SC JUMAPILI UWANJA WA LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top