• HABARI MPYA

  Wednesday, July 07, 2021

  AZAM FC YAWACHAPA PAMBA FC YA MWANZA MABAO 3-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOFANYIKA CHAMAZI LEO

   AZAM FC imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Pamba FC katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabao ya Azam FC inayofundishwa na kocha Mzambia, George Lwandamina yamefungwa na Wazimbabwe, Never Tigere dakika ya 25, Bruce Kangwa dakika ya 32 na Ayoub Lyanga dakika ya 56.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAWACHAPA PAMBA FC YA MWANZA MABAO 3-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOFANYIKA CHAMAZI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top