• HABARI MPYA

  Sunday, July 25, 2021

  TANZANIA PRISONS YAMREJESHA KIPA WAKE AARON KALAMBO BAADA YA MISIMU MIWILI YA KUZICHEZEA MBEYA CITY NA DODOMA JIJI FC LIGI KUU

  KLABU ya Tanzania Prisons FC imefanikiwa kumrejesha kipa wake, Aaron Ally Kalambo aliyeichezea Dodoma Jiji FC msimu uliopita.
  Kalambo mwenye umri wa miaka 26 sasa, aliibukia timu ya vijana ya Tanzania Prisons kabla ya kwenda kuchezea Polisi Morogoro mwaka 2015.
  Alirejea Prisons mwaka 2016 akacheza hadi mwaka 2020 alipohamia Mbeya City, kabla ya kujiunga na Dodoma Jiji FC msimu uliopita.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA PRISONS YAMREJESHA KIPA WAKE AARON KALAMBO BAADA YA MISIMU MIWILI YA KUZICHEZEA MBEYA CITY NA DODOMA JIJI FC LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top