• HABARI MPYA

  Thursday, July 08, 2021

  NEEMA JANGWANI, AZAM MEDIA LIMITED WASAINI MKATABA WA SH BILIONI 41 NA YANGA SC KWA MIAKA 10 KWA AJILI YA USHIRIKIANO WA MAUDHUI

   


  AFISA Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando na Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, wakisaini mkataba wa mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEEMA JANGWANI, AZAM MEDIA LIMITED WASAINI MKATABA WA SH BILIONI 41 NA YANGA SC KWA MIAKA 10 KWA AJILI YA USHIRIKIANO WA MAUDHUI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top