• HABARI MPYA

  Friday, July 30, 2021

  JKT TANZANIA YATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 17 IKIZIACHA MBALI KABISA SIMBA NA YANGA


  TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), ikizipu Azam FC na Simba SC zilizomaliza nafasi ya pili na ya tatu.
  JKT Tanzania imemaliza na pointi 50, tano zaidi ya Azam na nane zaidi ya Simba, wakati vigogo wa soka nchini, Yanga SC U17 yao imemaliza nafasi ya sita baada ya kukusanya pointi 36.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT TANZANIA YATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 17 IKIZIACHA MBALI KABISA SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top