• HABARI MPYA

  Wednesday, July 21, 2021

  SAMATTA AFUNGA BAO MOJA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI FENERBAHCE IKIITANDIKA KASIMPASA 4-1 UTURUKI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA

   MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao moja klabu yake, Fenerbahçe ikiibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Kasımpaşa katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Fenerbahçe Can Bartu Tesisleri Jijini Istanbul, Uturuki.
  Samatta alifunga bao la pili dakika ya 26, wakati mabao mengine ya Fenerbahce yalifungwa na İrfan Can Kahveci dakika ya 13, Serdar Dursun dakika ya 49 wote kwa penalti na Mert Hakan Yandaş dakika ya 62, wakati la Kasımpaşa alifunga Yusuf Erdoğan dakika ya 41 kwa penalti pia.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA AFUNGA BAO MOJA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI FENERBAHCE IKIITANDIKA KASIMPASA 4-1 UTURUKI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top