• HABARI MPYA

  Sunday, July 11, 2021

  BODI YA LIGI YASOGEZA MBELE KWA SIKU MOJA MECHI ZOTE ZA LIGI KUU BAADA YA POLISI TANZANIA KUPATA AJALI JUZI MOSHI

  BODI ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imesogeza mbele kwa siku moja mechi zote za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutoka Jumatano hadi Alhamisi wiki ijayo.
  Hatua hiyo inafuatia ombi la Polisi Tanzania kufuatia basi la wachezaji wake kupata ajali juzi asubuhi wakitokea mazoezini mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na TPLB imehofia upangaji wa matokeo kuahirisha mchezo mmoja pekee unaoihusu timu hiyo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YASOGEZA MBELE KWA SIKU MOJA MECHI ZOTE ZA LIGI KUU BAADA YA POLISI TANZANIA KUPATA AJALI JUZI MOSHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top