• HABARI MPYA

  Friday, July 16, 2021

  JOHN BOCCO NA GOMES WATWAA TUZO ZA MCHEZAJI NA KOCHA BORA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MWEZI JUNI  NAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Juni mwaka huu.
  Pamoja na Bocco, Mwalimu wa mabingwa hao tayari kwa mara ya nne mfululizo, Mfaransa Didier Gomes Da Rosa ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Juni, wakati Meneja wa Uwanja wa CCM kirumba Jijini Mwanza, Jonathan Mkumba ametwaa tuzo ya Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi huo. SC, John Raphael Bocco ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Juni mwaka huu.
  Pamoja na Bocco, Mwalimu wa mabingwa hao tayari kwa mara ya nne mfululizo, Mfaransa Didier Gomes Da Rosa ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Juni, wakati Meneja wa Uwanja wa CCM kirumba Jijini Mwanza, Jonathan Mkumba ametwaa tuzo ya Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOHN BOCCO NA GOMES WATWAA TUZO ZA MCHEZAJI NA KOCHA BORA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MWEZI JUNI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top