• HABARI MPYA

  Sunday, July 25, 2021

  GOMES AWAANZISHA PAMOJA MIQUISSONE NA WASHAMBULIAJI KOPE MUGALU NA JOHN BOCCO DHIDI YA YANGA SC FAINALI KOMBE LA TFF KIGOMA LEO

   KOCHA Mfaransa wa Simba SC, Didier Gomes amewaanzisha pamoja kiungo Luis Miquissone raia wa Msumbiji na washambuliaji, Mkongo Chris Kope Mugalu na Nahodha, John Raphael Bocco katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wa jadi, Yanga SC leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
  Mchezo huo unatarajiwa kuanza Saa 10:00 jioni na kuonyeshwa moja kwa moja na chaneli ya Azam Sports 1 HD ya Azam TV.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GOMES AWAANZISHA PAMOJA MIQUISSONE NA WASHAMBULIAJI KOPE MUGALU NA JOHN BOCCO DHIDI YA YANGA SC FAINALI KOMBE LA TFF KIGOMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top