• HABARI MPYA

  Sunday, July 25, 2021

  NABI AWAANZISHA PAMOJA KISINDA, YACOUBA SOGNE NA FEISAL SALUM DHIDI YA SIMBA SC FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP LEO LAKE TANGANYIKA

  KOCHA Mtunisia wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amewaanzisha pamoja viungo washambuliaji, Mkongo Tuisila Kisinda, Mburkinabe Yacouba Sogne na mzawa, Feisal Salum katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
  Mchezo huo unatarajiwa kuanza Saa 10:00 jioni na kuonyeshwa moja kwa moja na chaneli ya Azam Sports 1 HD ya Azam TV.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NABI AWAANZISHA PAMOJA KISINDA, YACOUBA SOGNE NA FEISAL SALUM DHIDI YA SIMBA SC FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP LEO LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top