• HABARI MPYA

  Wednesday, July 28, 2021

  EZEKIEL KAMWAGA AREJESHWA SIMBA SC KUKAIMU NAFASI YA UKUU WA IDARA YA HABARI, MANARA AAGWA RASMI MSIMBAZI

  KLABU ya Simba imemteua Ezekiel Kamwaga kukaimu nafasi ya Ukuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano kwa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi kwa nafasi za ajira kwa ajili ya watu wa Idara hiyo.
  Pamoja na hayo, klabu imeridhia ombi la kung’atuka la aliyekuwa Mkuu wa Idara hiyo, Haji Sunday Manara na kumshukuru kwa mchango wake mkubwa katika klabu pamoja na kumtakia kila la heri.


   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EZEKIEL KAMWAGA AREJESHWA SIMBA SC KUKAIMU NAFASI YA UKUU WA IDARA YA HABARI, MANARA AAGWA RASMI MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top