• HABARI MPYA

  Thursday, July 22, 2021

  KIKOSI CHA YANGA SC CHAWASILI KIGOMA MAPEMA TAYARI KWA FAINALI YA ASFC DHIDI YA MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC JUMAPILI


   KIKOSI cha Yanga SC kimewasili salama Kigoma kwa ndege mapema leo kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika.   Mamia ya mashabiki walijitokeza kuupokea msafara huo Uwanja wa Ndege na kuipeleka kambini kwa maandamano yaliyoongozwa na pikipiki maarufu kama Boda Boda

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA SC CHAWASILI KIGOMA MAPEMA TAYARI KWA FAINALI YA ASFC DHIDI YA MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top