• HABARI MPYA

  Friday, July 30, 2021

  ARSENAL YAMSAJILI BEN WHITE KWA ADA YA PAUNI MILIONI 50

   KLABU ya Arsenal imemtambulisha beki wa kati Ben White kutoka Brighton aliyesaini mkataba wa miaka mitano kwa ada ya Pauni Milioni 50.
  Beki huyo mwenye umri wa miaka 23 anatua The Gunners baada ya kufanya vizuri akiwa kwa mkopo Leeds msimu uliopita.
  Na huo unakuwa usajili wa tatu kwa kocha Mikel Arteta baada ya beki wa pembeni, Nuno Tavares kutoka Benfica na kiungo Albert Sambi Lokonga kutoka Anderlecht.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAMSAJILI BEN WHITE KWA ADA YA PAUNI MILIONI 50 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top