• HABARI MPYA

  Sunday, July 04, 2021

  TFF YAMPONGEZA MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIAH KUHUDHURIA PAMBANO LA WATANI WA JADI JANA DAR


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, kwa kujitokeza kwenye mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yanga jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.  Pamoja na hayo, TFF imesikitishwa na maneno ya Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kusema marefa wa jana wasingedhibitiwa wangewapa penalti Simba.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAMPONGEZA MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIAH KUHUDHURIA PAMBANO LA WATANI WA JADI JANA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top