• HABARI MPYA

  Tuesday, July 13, 2021

  SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA WAKITOKA KUCHAPWA 2-1 NA TWIGA STARS UHURU


  MAKAMU wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Steven Mnguto akimkabidhi Kombe Nahodha wa Simba Queens, Julieth Singano akikabidhiwa Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa 2020/2021.  Simba Queens walikabidhiwa Kombe hilo walilolitwaa kwa mara ya pili msimu huu baada ya kufungwa 2-1 na timu ya taifa, Twiga Stars jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA WAKITOKA KUCHAPWA 2-1 NA TWIGA STARS UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top