• HABARI MPYA

  Tuesday, July 20, 2021

  KIKOSI CHA YANGA SC KILIPOREJEA DAR ES SALAAM KWA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA KWENDA KIGOMA KUIVAA SIMBA SC FAINALI YA KOMBE LA TFF JUMAPILI


  KIUNGO Zawadi Mauya akiteremka kwenye ndege baada ya kikosi cha Yanga kuwasili Dar es Salaam kikitokea Dodoma ambako jana kilitoa sare ya 0-0 na wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  Yanga itasafiri tena kwenda Kigoma kwa ajili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wao wa jadi na mabingwa watetezi, Simba SC Jumapili.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA SC KILIPOREJEA DAR ES SALAAM KWA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA KWENDA KIGOMA KUIVAA SIMBA SC FAINALI YA KOMBE LA TFF JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top