• HABARI MPYA

  Saturday, July 31, 2021

  AZAM FC YAMPONGEZA MTENDAJI WAKE MKUU WA ZAMANI KUTEULIWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU YA ZANZIBAR

  KLABU ya Azam FC imempongeza aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu, Abdul Mohamed kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar.
  Uteuzi huo umefanywa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Dk. Hussein Mwinyi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAMPONGEZA MTENDAJI WAKE MKUU WA ZAMANI KUTEULIWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU YA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top