• HABARI MPYA

  Wednesday, July 28, 2021

  YANGA SC YAPANGWA KUNDI MOJA NA BIG BULLET YA MALAWI NA EXPRESS FC YA UGANDA MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME

  KLABU ya Yanga imepangwa kundi C pamoja na Nyasa Big Bullet ya Malawi na Express ya Uganda katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame itakayofanyika mwezi ujao Dar es Salaam.
  Kundi A kuna KCCA ya Uganda, Le Messager Ngozi ya Burundi na KMKM ya Zanzibar, wakati Kund B zipo Azam FC ya Dar es Salaam, Atlabara ya Sudan Kusini na Tusker ya Kenya.

  *RATIBA YA KOMBE LA KAGAME*
  AGOSTI 1
  KCCA FC v KMKM SC (Chamazi Stadium) 
  AGOSTI 2:
  Azam FC v Tusker FC (Chamazi Stadium) 
  Young Africans v Express FC (Mkapa Stadium) 
  AGOSTI 3:* 
  Le Messager Ngozi v KCCA FC (Chamazi Stadium) 
  AGOSTI 4: 
  Altabara v Azam FC (Chamazi Stadium) 
  Nyasa Big Bullets v Young Africans (Mkapa Stadium)
  AGOSTI 5:
  KMKM SC v Le Messager Ngozi (Chamazi Stadium) 
  AGOSTI 6: 
  Tusker v Altabara (Chamazi Stadium)
  Express FC v Nyasa Big Bullets (Mkapa Stadium)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAPANGWA KUNDI MOJA NA BIG BULLET YA MALAWI NA EXPRESS FC YA UGANDA MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top