• HABARI MPYA

  Tuesday, July 27, 2021

  KOPE MUTSHIMBA MUGALU AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI JULAI BAADA YA KUWABWAGA ILAMFYA WA KMC NA LUIZIO WA MBEYA CITY

  MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Mkongo Chris Kope Mugalu amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa mwezi wa mwisho wa msimu, Julai baada ya kuwashinda Charles Ilamfya wa KMC Juma Luizio wa Mbeya City.
  Mugalu amekuwa na mwezi mzuri, Julai baada ya kufunga mabao matano katika mechi zote tano ambazo timu yake ilicheza mwezi huo, ikizifunga Coastal Union 2-0, Namungo FC 4-0, KMC 2-0, sare ya 1-1 na Azam na kufungwa 1-0 na Yanga.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOPE MUTSHIMBA MUGALU AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI JULAI BAADA YA KUWABWAGA ILAMFYA WA KMC NA LUIZIO WA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top