• HABARI MPYA

  Friday, July 23, 2021

  MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MABINGWA WATETEZI ASFC, SIMBA SC JUMAPILI KIGOMA


  WACHEZAJI wa Yanga SC wakiwa mazoezini Uwanja wa Hali ya Hewa mjini Kigoma,  kujiandaa na fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mabingwa, Simba SC Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MABINGWA WATETEZI ASFC, SIMBA SC JUMAPILI KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top