• HABARI MPYA

  Friday, July 16, 2021

  RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO AIPONGEZA SIMBA SC KWA KUTWAA UBINGWA WA NNE MFULULIZO TANZANIA BARA

   


  RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Simba baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu kwa mara ya nne mfululizo msimu huu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA FIFA, GIANNI INFANTINO AIPONGEZA SIMBA SC KWA KUTWAA UBINGWA WA NNE MFULULIZO TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top