• HABARI MPYA

  Tuesday, July 13, 2021

  HARUNA NIYONZIMA KUAGWA YANGA SC ALHAMISI KATIKA MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA DHIDI YA IHEFU DAR

  KLABU ya Yanga itautumia mchezo wake wa Alhamisi wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ihefu SC kumuaga kiungo wake wa kimataifa wa wa Rwanda, Haruna Niyonzima.
  Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na Haruna ataagwa Yanga baada ya kuitumikia tangu msimu wa mwaka 2011/2012 akiiwezesha kutwaa mataji manne ya Ligi Kuu, kabla ya kuhamia kwa watani wa jadi, Simba SC ambako pia alishinda mataji mawili.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HARUNA NIYONZIMA KUAGWA YANGA SC ALHAMISI KATIKA MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA DHIDI YA IHEFU DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top