• HABARI MPYA

  Thursday, July 22, 2021

  SERIKALI YAUNDA KAMATI YA WATU 12 KUANDAA NA KUSIMAMIA MASHINDANO YA KOMBE LA TAIFA MWAKA HUU

   WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeunda Kamati ya watu 12 kuandaa na kusimamia mashindano ya Soka ya Kombe la Taifa mwaka huu.
  Miongoni mwa wateule wa Kamati hiyo ni Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  Wilfred Kidao pamoja na Nahodha wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERIKALI YAUNDA KAMATI YA WATU 12 KUANDAA NA KUSIMAMIA MASHINDANO YA KOMBE LA TAIFA MWAKA HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top