• HABARI MPYA

    Thursday, July 08, 2021

    SIMBA QUEENS YAPANGWA KUNDI A PAMOJA NA TIMU ZA BURUNDI NA UGANDA LIGI YA MABINGWA YA WANAWAKE AFRIKA

    MABINGWA wa Tanzania, Simba Queens wamepangwa Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika ya Wanawake pamoja na PVC FC ya Burundi na Lady Doves WFC ya Uganda.




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA QUEENS YAPANGWA KUNDI A PAMOJA NA TIMU ZA BURUNDI NA UGANDA LIGI YA MABINGWA YA WANAWAKE AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top