• HABARI MPYA

  Wednesday, July 21, 2021

  REFA AHMED ARAJIGA WA MANYARA KUCHEZESHA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAPILI KIGOMA ATASAIDIWA NA CHACHA WA MWANZA NA MKONO WA TANGA


  REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ndiye atakayechezesha fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baina ya watani wa jadi Simba na Yanga Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
  Katika Fainali ya michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Arajiga atasaidiwa na washika vibendera Fedinand Chacha wa Mwanza na Mohamed Mkono wa Tanga.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA AHMED ARAJIGA WA MANYARA KUCHEZESHA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAPILI KIGOMA ATASAIDIWA NA CHACHA WA MWANZA NA MKONO WA TANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top