• HABARI MPYA

  Saturday, July 24, 2021

  MSAFARA WA YANGA SC ULIOPO KIGOMA KWA AJILI YA FAINALI YA KOMBE LA TFF WAWATEMBELEA YATIMA NA KUWAFARIJI KWA ZAWADI MBALIMBALI


  MSAFARA wa kikosi cha Yanga SC uliopo Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) leo umetembelea vituo vya kulea watoto Yatima vya Amokachi na Subira Mina Rahman na kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika vituo hivyo.



  Yanga SC Jumapili itamenyana na watani wao wa jadi, Simba SC Fainali ya Azam Sports Federation Cup Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSAFARA WA YANGA SC ULIOPO KIGOMA KWA AJILI YA FAINALI YA KOMBE LA TFF WAWATEMBELEA YATIMA NA KUWAFARIJI KWA ZAWADI MBALIMBALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top