• HABARI MPYA

  Friday, July 16, 2021

  KOCHA KIM PULSEN ATEUA WACHEZAJI 20 KUUNDA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA U-23


  KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen ametaja kikosi wachezaji 20 wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23 kitakachoingia kambini Julai 19, mwaka huu kwa ajili mashindano ya CECAFA Challenge U23.
  Katika kikosi hicho, Poulsen amemjumuisha kipa aliyesimamishwa Yanga SC kwa utovu wa nidhamu, Metacha Boniphace Mata pamoja na wachezaji watatu waliozidi umri kwa mujibu wa kanuni za mashindano; Sospeter Israel wa Azam FC, Reliant Lusajo wa Namungo FC na Yussuph Mhilu wa Kagera Sugar.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA KIM PULSEN ATEUA WACHEZAJI 20 KUUNDA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA U-23 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top