• HABARI MPYA

  Monday, July 26, 2021

  MABINGWA WA MATAJI YOTE NCHINI, SIMBA SC WAREJEA DAR NA MWALI WAO WA ASFC BAADA YA KUIPIGA YANGA JANA LAKE TANGANYIKA

   


  KIKOSI cha Simba SC kimerejea Dar es Salaam leo kutoka Kigoma, ambako jana walitwaa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wa jadi, Yanga SC Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo.

  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABINGWA WA MATAJI YOTE NCHINI, SIMBA SC WAREJEA DAR NA MWALI WAO WA ASFC BAADA YA KUIPIGA YANGA JANA LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top