• HABARI MPYA

    Monday, November 09, 2020

    WATKINS APIGA MBILI ASTON VILLA YAWACHAPA ARSENAL 3-0 EMIRATES


    Ollie Watkins akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Aston Villa dakika ya 72 na 75 kufuatia Bukayo Saka kufunga la kwanza dakika ya 25 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATKINS APIGA MBILI ASTON VILLA YAWACHAPA ARSENAL 3-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top