• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 19, 2020

  TUME YA USHINDANI YASEMA HAIHUSIKI NA UCHELEWESHWAJI WA MCHAKATO WA MABADILIKO SIMBA SC

  TUME ya Ushindani (Tume au FCC) imesema kwamba ucheleweshwaji wa mchakato (transformation) wa kubadili mfumo wa uendeshaji wa Klabu ya Simba unatokana na mwitikio hafifu wa kampuni ya Simba Sports Club Company Limited wa kuwasilisha taarifa kamilifu na kwa wakati mbele ya Tume katika kufanikisha uchunguzi tajwa hapo juu.
  Tume imesema haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato huo kama ilivyoelezwa na viongozi wa Timu ya Simba hapo juu bali inatekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TUME YA USHINDANI YASEMA HAIHUSIKI NA UCHELEWESHWAJI WA MCHAKATO WA MABADILIKO SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top