• HABARI MPYA

  Jumatano, Novemba 25, 2020

  BRAITHWAITE AFUNGA MAWILI BARCELONA YASHINDA 4-0 UGENINI


  Martin Braithwaite akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 57 na 70 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Dynamo Kyiv kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya, mabao mengine yakifungwa na Sergino Dest dakika ya na Antoine Griezmann dakika ya 90 na ushei Uwanja wa NSK Olimpijs'kyj Jijini Kyiv
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BRAITHWAITE AFUNGA MAWILI BARCELONA YASHINDA 4-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top