• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 22, 2020

  HAALAND APIGA NNE DORTMUND YAICHAPA HERTHA BERLIN 5-2


  Kinda wa miaka 20, Mnorway Erling Haaland akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao manne dakika za 47, 49, 62 na 79 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya wenyeji, Hertha Berlin kwenye mchezo wa Bundesliga jana Uwanja wa Olympia Jijini Berlin. Bao lingine la Borussia Dortmund lilifungwa na Raphael Guerreiro dakika ya 70, wakati ya Hertha Berlin yalifungwa na Matheus Cunha dakika ya 33 na Matheus Cunha kwa penalti dakika ya 79
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA NNE DORTMUND YAICHAPA HERTHA BERLIN 5-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top